Aina Mbalimbali Za Nyumba
"Utapata Nyumba za Aina Tofauti Zinazokidhi Mahitaji yako. Kutoka Nyumba za Kupanga Hadi za Kununua kwa kila Eneo Tanzania kwa bei utakayoiweza. Tunahakikisha unapata unachoitaji bila usumbufu"
Tunatoa Huduma kwa kila hatua Ndani ya masaa 24..!
"Utapata Nyumba za Aina Tofauti Zinazokidhi Mahitaji yako. Kutoka Nyumba za Kupanga Hadi za Kununua kwa kila Eneo Tanzania kwa bei utakayoiweza. Tunahakikisha unapata unachoitaji bila usumbufu"
"Kwa Miaka Mingi Tumekua chaguo la Kwanza Kwa wateja wetu Nchini Tanzania. Uhaminifu wetu ni msingi wa Mnafanikio Yetu tukihudumia maelfu ya wateja waliotimiza Ndoto Zao za Kumiliki au Kupanga nyumba au vyumba"
"Tunashirikiana na Taasisi Mbalimbali ili kuhakikisha unapata Njia bora za ufadhili. Ikiwa ni kununua au kupanga, malipo yanayofaa yanaweza mchakato wa kupanga au kununua Nyumba ya Ndoto yako".
"Tupo kila sehemu Mtaa kwa mtaa katika maeneo mbalimbali Nchini. Popote ulipo tupo lengo ni moja tu kuhakikisha unapata huduma bora na nyumba inayokufaa".
We provide full service at every step.
Agent Wetu Utasaidiwa ndani ya Muda usiozidi saa 24
Tunakusanya Maoni kutoka kwa watumiaji Mbalimbali.
"Nimepata chumba cha kupanga ndani ya saa chache. NyumbaChap ni suluhisho la haraka kwa wapangaji!"
Dodoma
"Ni rahisi kutumia! Nimepata nyumba yangu kwa haraka na mawasiliano na mmiliki yalikuwa simple tu na sijalipia chochote nawashukuru sana"
Dar es salaam
"Hii ni tovuti nzuri kwa wamiliki wa nyumba. Nimeweza kutangaza nyumba yangu bure na kupata wateja haraka! Nawapenda sana ❤️❤️❤️"
Mwanza
The Companies That Represent Us.